Ukurasa wa mbele Kitabu cha wageni Mawasiliano Links Utusaidie! English version   Polska wersja     
Misheni kwa ujumla
Miito
Shule ya Mt. Maksimiliano
Mwanga
Arusha
Dar es Salaam
Morogoro

Kifransisko
Watakatifu wa Africa
Sala mbalimbali





Unajisikia Kuitwa?

Vijana wapostulanti wa shirika letu ambao wako katika chuo cha malezi Arusha. Watano kati yao ni Wakenya, na moja ni kutoka Burkinafaso, Afrika Magharibi. Hapa wanaonekana wakitumbuiza wageni na wazazi wa masista wa shirika la Mt Vincenti Palloti walioweka nadhiri yao ya kwanza katika maisha ya kitawa, tarehe 06.01.2007. Sherehe hiyo ilifanyika katika nyumba ya malezi Polisingisi Arusha.

Je, wewe ni kijana wa kiume ambaye anasoma au amehitimu masomo yake? Ungependa kuishi na unajisikia kuitwa kujitoa kumtumikia Mungu na wengine? Mwandikie mkurugenzi wa miito kwa maelekezo zaidi, ukitumia mojawapo ya anuani hizi:

Mkurugenzi wa Miito
Ndugu Wadogo Wafransisko Wakonventuali
P.O. Box 782
Arusha


Au

Kwa email hii: vdofmconv@yahoo.com






Design by Wafransisko                                    The web site exists since October 2006 r.