Ukurasa wa mbele Kitabu cha wageni Mawasiliano Links Utusaidie! English version   Polska wersja     
Misheni kwa ujumla
Miito
Shule ya Mt. Maksimiliano
Mwanga
Arusha
Dar es Salaam
Morogoro

Kifransisko
Watakatifu wa Africa
Sala mbalimbali





Matembezi ya hisani - Segerea, sehemu ya 1

Jumamosi, tarehe 22 IX 2007 Matembezi ya Hisani yaliongozwa na Mwadhama Cardinali Policarp Pengo katika parokia ya Roho Mtakatifu Segerea-Dar es Salaam. Madhumuni ya matembezi ni kuchangia ujenzi wa kanisa la Segerea awamu ya tatu. Matembezi yalianzishwa kwenye Eneo la Seminari Kuu-Segerea na yalimalizika mbele ya kanisa jipya. Baadaye Card. Policarp Pengo aliongoza ibada fupi ya kumshukuru Mungu kwa ujenzi halafu mnada imefanika. Tunamshukuru Mungu kwa mafanikio makubwa yaliyopatikana.

Uangalie picha za Matembezi Haya.








Design by Wafransisko                                    The web site exists since October 2006 r.