Ukurasa wa mbele Kitabu cha wageni Mawasiliano Links Utusaidie! English version   Polska wersja     
Misheni kwa ujumla
Miito
Shule ya Mt. Maksimiliano
Mwanga
Arusha
Dar es Salaam
Morogoro

Kifransisko
Watakatifu wa Africa
Sala mbalimbali





Mtihani wa 1 wa Shule ya Mt. Maksimiliano, Segerea

Jumamosi, tarehe 17 Novemba 2007, watoto 37 ambao wanataka kujiunga na Shule ya Mt. Maximilano wamefania mtihai yao wa kuingia Darasa la kwanza. Somo la Hesabu na Kingereza tumetumia kama kipimo cha uwezo wao wa kusoma. Watakaji kwa bidii na kwa mwongozo wa walimu wawili wamepita makaratasi ya mtihani. Tulikuwa na mafanikiyo kubwa katika somo la Hesabu lakini wachache wameona ugumu ya mtihani ya Kiingereza kwa namna ya pekee katika kutofawtisha rangi. Baada ya masaa mawili wanafunzi wamemaliza mtihani na wamepata soda na biskuti na wamerudi kwa wazazi wao nje ya darasa.
Mwanzo mzuri. Tunakaribisha watoto wengine kujiunga na shule letu na wafanye mtihani tarehe 8 Disemba 2007.

Uangalie picha za mtihani huo!







Design by Wafransisko                                    The web site exists since October 2006 r.