Ukurasa wa mbele Kitabu cha wageni Mawasiliano Links Utusaidie! English version   Polska wersja     
Misheni kwa ujumla
Miito
Shule ya Mt. Maksimiliano
Mwanga
Arusha
Dar es Salaam
Morogoro

Kifransisko
Watakatifu wa Africa
Sala mbalimbali





TEACHING VACANCY AT ST. MAXIMILIAN PRIMARY SCHOOL
ST. MAXIMILIAN PRIMARY SCHOOL
P.O. BOX 80409
SEGEREA, DAR ES SALAAM
TEL. +255732995255

St. Maximilian School situated at Segerea, Dar es Salaam, needs a Primary School Teacher with Certificate or Diploma in Education specialized in English, Mathematics and Science, and at least 2 years of teaching practice.

Send your application to:
The Head Teacher
St. Maximilian Primary School
P.O. Box 80409
Dar es Salaam

Tarehe 17 Jan 2010 na admin


Uzinduzi wa Custody (Vice-Province) ya mt. Maksimiliano Tanzania
Kwa sifa na utukufu wa Utatu Mtakatifu wa Mungu na pia kwa manufaa makubwa ya watu wa Mungu na Kanisa la Tanzania na kwa ukuaji wa Shirika la Ndugu Wadogo Wakonventuali, katika karne ya VIII ya mwanzo ya karama ya Wafransisko; Tarehe 14/08/2009 ‘Provincial Custody’ ya Mtakatifu Maksimilian Maria Kolbe Tanzania ilizinduliwa rasmi. Usome zaidi...

Tarehe 17 Aug 2009 na admin


Njia ya masalaba katika Poli Sing'isi - Arusha
Tarehe 20/03/2009 katika parokia yetu ya Poli Sing'isi tulikuwa na ibada ya Njia ya Msalaba. Siku hii ilikuwa tofauti kidogo kwa sababu tulifanya ibada yetu nje ya kanisa si ndani kama kawaida. Tulianza darajani la Mt. Antoni lililo chini zaidi kuliko kanisa lenyewe lakini si mbali na kanisa. Usome zaidi...

Tarehe 24 Mar 2009 na admin


Content Management Powered by CuteNews
Log
Kuanzishwa kwa Kituo cha elimu ya msingi ya Mt. Maksimiliano
Kituo cha Mt. Maksimiliano (St Maximilian Education Centre), Dar es Salaam, kilianza shughuli zake rasmi mwezi wa kwanza mwaka 2008. Kituo hiki zimeanzishwa na familia moja kutoka Parokia ya Segerea na shirika la Ndugu Wadogo Wafransisko Wakonventuali na kinatarajia kuendesha shughuli za shule ya msingi na sekondari. Usome zaidi...


Mtihani wa 1 wa Shule ya Mt. Maksimiliano, Segerea
Jumamosi, tarehe 17 Novemba 2007, watoto 37 ambao wanataka kujiunga na Shule ya Mt. Maximilano wamefania mtihai yao wa kuingia Darasa la kwanza. Somo la Hesabu na Kingereza tumetumia kamo kipimo wa uwezo yao ya kusoma. Watakaji kwa bidii na kwa uongozi ya walimu wawili wamepita makaratasi ya mtihami. Usome zaidi...


St. Maximilian Education Center in Dar es Salaam
Conventual Franciscan Friars have been involved in pastoral and social activities of the Archdioceses of Dar es Salaam, Tanzania since 1998. With the passing of the time taking into consideration rapidly developing city of Dar es Salaam and ever increasing population, the initiate has been taken to establish parish and outstation in order to provide pastoral care for the faithful. At the same time taking into consideration need of assisting society with care taken of the children, St. Anthony of Padua Kindergarten has been build with the contribution of the local Christian community and help of the Caritas Antoniana. Read more...


Matembezi ya hisani - Segerea
Jumamosi, tarehe 22 IX 2007 Matembezi ya Hisani yaliongozwa na Mwadhama Cardinali Policarp Pengo katika parokia ya Roho Mtakatifu Segerea-Dar es Salaam. Madhumuni ya matembezi ni kuchangia ujenzi wa kanisa la Segerea awamu ya tatu. Usome zaidi...


Unajisikia Kuitwa?
Pichani ni vijana wapostulanti wa shirika letu ambao wako katika chuo cha malezi Arusha. Watano kati yao ni Wakenya, na moja ni kutoka Burkinafaso, Afrika Magharibi. Hapa wanaonekana wakitumbuiza wageni na wazazi wa masista wa shirika la Mt Vincenti Palloti walioweka nadhiri yao ya kwanza katika maisha ya kitawa, tarehe 06.01.2007. Usome zaidi...


Uzinduzi ya nyumba mpya katika Morogoro
Tarehe 2 Decemba 2006 tulikuwa na sherehe ya uzinduzi ya nyumba mpya kwa ajili ya malezi katika Morogoro. Nyumba hii ni nyumba ya nne ya shirika letu hapa Tanzania.
Tafadhali angalia picha za sherehe hii.



Mungu mkuu na mtukufu,
angaza moyo wangu na unijalie imani ya kweli,
matumaini thabiti na mapendo kamili.
Bwana, unipe busara na ufahamu,
ili nitimize maagizo yako matakatifu na ya kweli. Amina.

(Sala ya Mt. Fransisko mbele ya Msalaba)








Design by Wafransisko                                    The web site exists since October 2006 r.