09.03.2009 - 1:52 - Sisters of the Holy Spiri Masista tuko hapa Amerika ni masista kutoka Holy Spirit Moshi na padre Mpolish, ks. Andrzej, tuko naye hapa parokiani Key West Florida. Tunawatakia kila jema katika utumishi wenu katika shamba la Bwana. Katika utumishi. Ni O.S.S. komentarze (0) |